MDAU WANGU HIZI HAPA PICHA SABA ZA MUIMBAJI FLORA MBASHA AKIHUDUMU KWENYE MKUTANO WA HUDUMA YA UFUFUO NA UZIMA.
Flora Mbasha akifanya kweli jukwaani
Huduma ya ufufuo na Uzima iliyo chini ya Mch.Josephat Gwajima imeanza huduma ya mikutano kwa baadhi ya mikoa,miezi iliyopita ilikua Arusha na
baadaye Kilimanjaro ambapo maelefu ya watu walio
jitokeza katika mikutano hiyo Mungu alionekana wazi baada ya kuwaponya
wengi na watu kumpokea kristo.Ufufuo na Uzima inahamia Tanga kuanzia
Tarehe 21 Nov. mpaka tarehe 01 Dec. 2013
Twende kaziii
0 maoni:
Chapisha Maoni