WAZiRI NAHODHA AONGOZA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU LUTENI MLINDA
Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha akitia saini
kitabu cha mahudhurio kuuaga mwili wa marehemu Luteni Rajabu Mlima
kwenye kambi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ya Lugalo
jijini Dar es Salaam.
Askari wa JWTZ wakiutelemsha mwili wa marehemu kutoka kwenye gari la Jeshi katika viwanja vya Lugalo.










0 maoni:
Chapisha Maoni