Mathayo7;7-8
. Yeremia
33;3
Efeso 33;3.
Lakini
kanini baadhi ya maombi yetu hayajibiwi.SABABU.
1.KUKOSA IMANI.
Mathayo 21;21-22.
MKiomba lolote kwa imani bila kutia shaka mtapokea.
2.KUKOSA SHUKRANI.Wafilipi 4;6
Usipo mshukuru mungu ,hawezi kuvutwa kukupa tena kitu kingine.
3.KUTOAMBATANA NA BWANATo be at one with GOD.
Yohana 15;7.
Zaburi 34;15
4.KUOMBA NJE YA MAPENZI YA MUNGU AU KUOMBA VIBAYA.
Yakobo 4;3Yohana5;14
Mathayo26;39-42
5.MAISHA YA DHAMBI.
Zaburi66;18
Isaya59;1-2
0 maoni:
Chapisha Maoni