ASKOFU KAKOBE AFANYA MAZISHI YA MTOTO WAKE LEO JETI KIWALANI.
Askofu Zachary kakobe wa Full Gospel Bible
Fellowship leo amefanya ibada ya Maziko ya Mch:Michael Mbwambo wa
Kanisa la Christian Love Ministries lililoko Kiwalani jiji Dar.Ibada ya
maziko ya Mch Michael yali uliudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo
Maaskofu wa majimbo matano ya kanisa la FGBF,Viongozi wa
Serikali,Viongozi wa kata pamoja na watu maarufu.Mchungaji Michael
Mbwambo miaka kadhaa alikua akitumika chini ya Askofu Kakobe kabla ya
kuanza huduma ya Ministries.
Katika ibada yake Askofu Kakobe alitamka
"Mch Michael Mbwambo ni mwanaye aliye muona toka siku ya kwanza alipo
mpokea kristo.Ndani yake alijawa na wito mkubwa wakumtumika Mungu ndiyo
mana hata sasa hatuna budu kufurahi na kumshukuru mungu kwa safari kubwa
katika maisha yake ya kuichapa injili kwa vijana na wazee.
Ezekiel Kakobe akiwa na mdogo wake wakiwahi kufungua begi za Camer kwajili ya matukio.
Askofu Kakobe akiingia.
Maaskofu wa majimbo (fgbf) wakiingia.
Kwaya ya Huzima Katika Neno (fgbf) wakisifu.
Mwili wa marehemu ukiingia.
Askofu Kakobe na Mkewe waliingia ndani kuwasalimu wafiwa.
Askofu Kakobe akimpa pole mke wa Mch Michael Mbwambo.
Ibada ya Maziko ikaanza.Mchungaji Cassian akimkaribisha Askofu Kakobe
Bwana ametoa na Bwana
ametwaa.....tutakukumbuka daima na milele.Ulikuwa mpole mwenye hekima na
maarifa daima tutakukumbuka Mch.Michael Mbwambo.Maziko ya nyumba ya
mwisho ya Mch Michael yamefanyika makaburi ya Kinondoni.
Mtoto wa kwanza wa Mch Mbwambo akiambatana na Mama yake mzazi kuaga mwili wa Marehemu Michael Mbwabo.



















0 maoni:
Chapisha Maoni