UGANDA WAMZIKA NYOTA WAO ALIYEFIA TANZANIA AKIOGELEA
Mamia ya waumini na wapenzi wa aliyekuwa mwimbaji wa gospel nchini
Uganda kijana Mark Elvis Mutalya a.k.a church boy, walikusanyika mapema
jana katika kanisa la Watoto lililopo jijini Kampala katika ibada ya
kumuaga mwimbaji huyo ambaye alifariki mwishoni mwa wiki iliyopita
jijini Dar es salaam baada ya kuzama katika bwawa la kuogelea maeneo ya
Mbezi.
Baada ya ibada katika kanisa hilo ambalo lilimlea toka wazazi wake wafariki, mwili wake umepumzishwa katika makaburi yaliyopo wilayani Mayuge jijini Kampala.
Bonyeza HAPA.
Baada ya ibada katika kanisa hilo ambalo lilimlea toka wazazi wake wafariki, mwili wake umepumzishwa katika makaburi yaliyopo wilayani Mayuge jijini Kampala.
Bonyeza HAPA.
You might also like:








0 maoni:
Chapisha Maoni