Jumamosi, 26 Oktoba 2013

Unknown | 08:23 |

EXCLUSIVE ENTERVEW - Bahati Bukuku na Maisha ya Mafanikio.

Nimpole katika uso lakini ni mkali wa Sauti ya besi,Si mwingine ni Bibie Bahati Bukuku ambe leo tumepiga story kuhusu mafanikio yake,wapi alipotoka katika mziki wa Injili na wapi anakwenda.Kwa muda mrefu Bahati Bukuku toka atoe Albamu zake mbili amekuwa kimya kiasi cha mashabiki wake kudhani ameishiwa mashairi.

Blog ilifunga safari hadi nyumbani kwake Bunju kutaka kujua yuko wapi sasa na anafanya nini muda wote aliokaa kimya.Majira ya Saa tatu asubuhi nachukua simu yangu ya Mkononi nakumtafuta.
Hezzo-Reeee reeeee reeee

Bahati Bukuku-Haloo haloo.

Hezzo-Nakusikia Bahati Bukuku

Bahati Bukuku-Halooo

Hezzo-Habari za siku mtumishi

Bahati Bukuku-Ni nzuri Hezzo.
Hezzo-Leo nataka kuja kwako kuzungumza na wewe,umekuwa kimya sana.

Bahati Bukuku-Ahaa leo niko busy any way muda gani.
Hezzo-Mtumishi ikiwezekana muda huu.

Bahati Bukuku-Ok Chukua TX apo ulipo then njoo mpaka Tabata Migombani mimi nitailipia naomba ufanye araka kwakua naitajika Kariako kwa waindi.
Hezzo-Ok sawa,mimi nilijuwa uko Bunju.

Bahati Bukuku-Nilikuwa uko lakini asubui sana nimetoka niko uku na mgonjwa.So ukifika niambie mana nipo ka-salon flani najiweka sop ilinitoke pouwa.
Hezzo-Ahaaa haya bwana.Akuna shaka nitakukuta apo sio.

Bahati Bukuku-Ndio Hezzo.
Akiwa anatengenezwa nywele Salon.
Baada yakutoka hapa tulielekea tabata migombani kwenye maojiano na mimi.Twende sawa na maojiano yangu siku ya leo.

Bahati Bukuku kwa sasa amejikita katika Ujasiliamali,maisha yake asilimia 70 yapo katika kulima nakuwekeza.Mungu amempatia mafanikio makubwa ambayo yeye mwenyewe anasema hapo zamani aikuwa ivyo kama sasa.

Kwa sasa anamiliki Nyumba {4} alizo jenga mwenyewe,mbili Tabata Migombani,moja Bunju nyingine Mbezi beach.Ana mashamba {4} Kitunda,Bunju,Kibaha na Mbeya.Mashamba hayo yana takribani ekari 2 mpaka 5.Ana {Makarashi 2} yakusaga dhahabu mkoani geita.Anamalizia Hotel yenye vyumba 38 mkoani geita,mwezi wa kuminambili mwaka huu inakwenda kufunguliwa rasmi,Hotel hii itaitwa Double B Hotel.

Yapo mengi ambayo Mungu amemfanikisha katika maisha yake.Msikilize mwenyewe hapa akisema.
Share this article

0 maoni:

Chapisha Maoni

 
Copyright © 2015 HEZRON MWANAFUNZI WA YESU • All Rights Reserved.
Blogger Templates Design by BTDesigner • Powered by Blogger