Jumatano, 6 Novemba 2013

BLOG INATOA POLE KWA MUIMBAJI WA MUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI BAHATI BUKUKU KWA KUFIWA NA BABA MZAZI.

Unknown | 22:01 |

Kwa niaba ya wadau wa blog hii pamoja na watendani wote tunatoa pole kwa muimbaji  wa muziki wa Injili Bahati Bukuku kwa kufiwa na baba yake Mzee Lwagha Amen Bukuku baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Share this article

0 maoni:

Chapisha Maoni

 
Copyright © 2015 HEZRON MWANAFUNZI WA YESU • All Rights Reserved.
Blogger Templates Design by BTDesigner • Powered by Blogger